Home Music East Africa Mbosso – Umechelewa

Mbosso – Umechelewa

16
0

Mbosso – Umechelewa

  • Artist: Mbosso
  • Released: 2024
  • Duration: 03:28

Download Mbosso – Umechelewa Mp3 Audio

Here comes another amazing entry by Tanzanian singer and songwriter, Mbosso titled Umechelewa and is right here for your fast download.

Listen and share your thought below:

Mbosso – Umechelewa lyrics

Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi
Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi
Ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula
Ulikuwa wapi mbona umechelewa
Mbona umechelewa mbona umechelewa
Mbona umechelewa mbona umechelewa
Nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi
Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi
Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa
Hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa
Kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha
Mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here